Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Habari zenu wanajamvi wenzangu mlioshiriki na msio shiriki siku hii ya Chai day.
Binafsi sikubahatika kuwepo ktk hafla hii basi cc wote ambao hatukushiriki tunaomba wale walishiriki watudokeze mambo yalikuwaje ktk cku hii,
Tutashukuru.