A
Anonymous
Guest
Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo:
1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini.
2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi.
3. Mazingira ya eneo la kulia chakula ni mabovu na chakula hakina ubora wa kutosha na hawana wataalamu wa upishi wala bwana Afya anayethibitisha ubora wa chakula.
4. Mikataba mibovu ya wafanyakazi isiyoendana na sheria za kazi za Tanzania.
Na kero nyingine nyingi.
Tunaamini Serikali yetu ni sikivu. Itume wataalamu waje kuongea na wafanyakazi na sio uongozi maana hawasemi ukweli.