DOKEZO Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kutumia fake id haiwezi kusaidia wala kutatua hilo tatizo.. wewe kama kweli una ushahid na kweli hizo kero zipo nenda ata BONU tv zile za Instagram sh 20 unapata interview uelezee vema.. sio kuja apa kuleta kuleta majungu na umbea
 
hongera...jitahidi. mwambie bossi wako asijifiche aje kazini atoe ushirikiano kwa mamlaka husila.
 
Huyo jamaa itakuwa kuna sehemu mrija umezibwa kwa hiyo kaamua kuleta majungu hapa ili wakose wote. Hakuna Hospital inayotoa huduma nzuri kwa Wilaya ya Temeke kama hii,madaktari bingwa wapo,huduma bora,full computerized hakuna ujima wa kubeba makaratsi kwenda kwa Dr au maabara.
 
soon utapata huduma nzuri zaidi ya hizo bwana wanjiru pale wapigaji wote watakapokomeshwa na bodi imara itakapoundwa chini ya usimamizi wa serikali. kamwambie maneno haya na bossi wako aliyekutuma umtetee.
 
soon utapata huduma nzuri zaidi ya hizo bwana wanjiru pale wapigaji wote watakapokomeshwa na bodi imara itakapoundwa chini ya usimamizi wa serikali. kamwambie maneno haya na bossi wako aliyekutuma umtetee.
Wewe kila anaekupinga katumwa sio,na wewe umetumwa na nani?
 
Wewe kila anaekupinga katumwa sio,na wewe umetumwa na nani?
wanjiru...tekeleza majukumu ya taifa na familia yako...!! tunza familia yako...heshimu jamii ..heshimu mali za umma na haki za wengine and finally be humble. uwe na sku njema.
 
Kutumia fake id haiwezi kusaidia wala kutatua hilo tatizo.. wewe kama kweli una ushahid na kweli hizo kero zipo nenda ata BONU tv zile za Instagram sh 20 unapata interview uelezee vema.. sio kuja apa kuleta kuleta majungu na umbea
sawa bwana kemal...nimekusikia. ahsante kwa kushiriki.
 
Gharama za matibabu kwa wateja ambao sio wanufaika wa bima za afya zipo juu sana hali inayowanyima fursa raia na walipa kodi wa kipato cha chini kupata huduma.
Hao si wanajua pahala pao pa kwenda? Dar Group si pahala pao ati. Usilete siasa kwa kuwa hilo kundi unalosema hata Aga Khan Hospital na kwingineko huwa haliendi kupata matibabu huko!
 
Ndio maana wapigaji wanalalamika
 
Pole sana daktari cha msingi pambana Fanya kazi huku ukimtegemea mungu ....huduma yako tunaitaka sanaaa hapo dar group lakin hii pia iwe funzo na fursa kwako kuona kwamba unaweza funguo hospital yako baada ya miaka kadhaaa ukijipanga na kuweka mambo sawaa kwa kujifunza kupitia uongoz mbovu wa dar group

Nakuombea kila LA kheri na na imani utafanikiwa kutimiza malengo yako hapo baadaye ya kufungua hospital yako.

Na pia fahamu pamoja na udaktari wako mzuri uliosoma na u nondo wako ulionao cha MTU ni cha MTU tu hata ukiajiriwa serikalin itafika kipindi kuna wana hawana hata degree watakuja kukutikisha na kukupapasa na hautasema fyoko fyoko

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
"Serikali sikivu"
o
Ukiona mfanyakazi mswahili anasifia management ujue manager hasimamii vizuri...

Huu uzi unaashiria mkurugenzi hataki ujinga..
kweli wewe ni freshman. unacomment ujinga kwenye serious issue kama hizi? ww unajua wahusika wanavyoteswa na swala hili?? unaukataa vip uswahil wakat ndio uhalisia wako? utatukuza vya wageni mpaka lini? ELEWA KWAMBA USIPOCHANGIA KATIKA HILI HUTANYIMWA PUMZI KWAN UKISOMA UKAPITA UNAKUFA??
 
Kutumia fake id haiwezi kusaidia wala kutatua hilo tatizo.. wewe kama kweli una ushahid na kweli hizo kero zipo nenda ata BONU tv zile za Instagram sh 20 unapata interview uelezee vema.. sio kuja apa kuleta kuleta majungu na umbea
Naona kama mnajitahidi kumuatack mleta mada. Kwa kuangalia namna mada ilivyowasilishwa hata mimi naamini kuna tatizo hapo mahali. Lengo la mleta mada liko wazi kwamba ufanyike uchunguzi kama hakuna shida kila kitu kitakuwa sawa.
Hii ni platfom nzuri sana ya kuelezea uozo ukiwa hujulikani. Serikali inaangalia,inasikia na imeona, hopeful utekelezaji wake ufanyike kwa maslahi mapana ya taifa letu.
Tuwe watulivu. Ukiona moshi moto uko chini.
 
Mkurugenzi anaitwa nani?
 
Yah nafikiri vyombo husika vitafanya kazi yake na vitawasafisha kutokana na tuhuma hizi kama kweli ni majungu tu.....haihitaji kutumia nguvu kum-attack mleta mada..
 
Hongera kwa kufikisha taarifa. Leo mmetembelewa na DC wa Temeke Mh. Godwin Gondwe.
MUNGU si mwanadamu. hakuna ovu lisilo na Mwisho. tunamshukuru Mungu kwa ajiri ya serikali yetu sikivu na kumtuma mkuu wa wilaya aliyejaa hekima Mh Godwin Gondwe, hakika huyu mtu roho wa Mungu yu ndani yake. God is good...haki imetendeka na itaendelea kutendeka.
 
Aya wale waliosema mleta uzi ni mpika majungu wako wapi? Mh DC ametimba hapo na ukiritimba mwingi umeripotiwa na Wafanyakazi, na tume imeundwa kwenda kuchunguza madai ya Wafanyakazi. Tupunguze mdomo sio kila mtu ni mpiga majungu.
Mungu ni mwema kiongozi...nadhani watakuwa wamepata majibu.
 
We ndezi ulikuwa unatetea utumbo hapa,tume hiyo inakuja lazima tumwage mboga pumbvu zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…