Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Mzalendo anajitolea kuonyesha uhujumu wa kweli unasema analialia,kwa hiyo watu wakae kimya hata wakiona uhalifu wa wazi? Wewe ni pmbavu kabisa
Taifa la kulialia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa la kulialia
Tulieni kwanza wachunguzi waje,ndo tutajua mbichi na mbivu.Huyu wala siyo daktari. Wale "vipanga" wa PCB niliokuwa nawaona shule miaka ile wakipigania nafasi za kwenda Muhimbili hawawezi kuwa na uandishi duni kiasi hiki, unless mtu aniambie siku hizi madaktari wanasomea VETA. Huyu ni mtu mwenye chuki binafsi na majungu tu. Eti 'dharula', mara 'hekali nne', vituko tu!
Tulieni kwanza wachunguzi waje,ndo tutajua mbichi na mbivu.
Sijui tunakwama wapi wabongo,tunapenda sana kukosoana kwenye mambo yasiyo ya msingi kama vile:lugha,miandiko, ili hali kinachozungumzwa kimeeleweka.
suala la miandiko n.k wazungu haliwapi shida wanaangalia hoja.Sisi tuna matatizo gani lakini?
Na huyu unataka umfukuze kazi? maana ameeleza wazi kuwa waliofuata hizo unazoita taratibu wamesimamishwa kazi,huyu kakupiga chengaHuna hoja ya msingi. Channels za kupeleka malalamiko kama haya zipo, tena rasmi kabisa na kisheria, kwanini usifuate hizo unakuja kujificha nyuma ya fake ID hapa? Ungekuwa umeshafuata channels hizo ikashindikana ningekuelewa. Kwa sasa unachofanya ni majungu tu. Na tabia mojawapo ya majungu na umbea ni kwa msemaji kupenda kujificha na kuongelea vichakani na mivunguni.
Mkuu naona unawadharau veta,ila si ajabu aliyekupa lift jana alisoma VETA.VETA Chang'ombe ulimaliza mwaka gani?
Hata viongozi wetu wenyewe hawana channel zaidi ya mitandaoHuna hoja ya msingi. Channels za kupeleka malalamiko kama haya zipo, tena rasmi kabisa na kisheria, kwanini usifuate hizo unakuja kujificha nyuma ya fake ID hapa? Ungekuwa umeshafuata channels hizo ikashindikana ningekuelewa. Kwa sasa unachofanya ni majungu tu. Na tabia mojawapo ya majungu na umbea ni kwa msemaji kupenda kujificha na kuongelea vichakani na mivunguni.
Nadhan hata presdaaa kawaambia waache Habari ya maselfie Na mitandaooNadhani hiri ndiro renyewe kabisa na ndiro ra kuanza naro mbere kwa mbere
Ona nguchiro huyu.Acha majungu dogo. Usipofuata standard Treatment Guideline NHIF hawawezi kukulipa.
Halafu siyo kweli kwamba STG ina matibabu yote hiyo ni guideline ambayo baadhi ya maeneo ipo very shallow. Wewe utakuwa ni miongoni wa madaktari wazembe, mpenda majungu kwenye hiyo hospital.
Wewe ni mpumbavu sana, Dr Slaa amepatia ujiko JF, hapa ndipo alikuwa anachota nondo na data za kwenda kuwasulubu bungeni.Afadhali sasa umejielewa. Sasa jitulize, kama una hoja kaa chini uiandike vizuri na ushahidi wote ulionao pamoja na vielelezo kama unavyo, upeleke panapohusika kwa utaratibu rasmi kabisa, utaona matokeo mazuri. Vinginevyo huku kwenye fake ID utatupiwa madongo tu.
Ona nguchiro huyu.
Mheshimiwa kwanza uwe na adabu unapotoa hoja zako, katika maelezo yangu sijasema kwamba STG ina matibabu yote ila ni mwongozo i.e summary inayomsaidia daktari ku assemble shule yake ya miaka mitano na mwaka mmoja wa utayari.
Kitu nilichoelezea ni mashinikizo ya kutubu nje ya muongozo na nje ya miiko ya kidaktari...kujaza vipimo vingi amabavyo haviko relevant na presenting condition ya mgonjwa au ku-exacerbate symptoms ili vipimo viandikwe vingi na dawa ziandikwe nyingi.
Kama ni daktari au mtaalamu wa afya utakuwa umenielewa.
najua hoja umeielewa, ila unakaza ubongo sababu ni mmoja wa wanufaika. ila hakuna ovu linalodumu milele. lazima ifike mahali taaluma ya mtu iheshemiwe.Dogo wewe ni mlalamishi tu na ukikuwa utaacha hizi mambo maana utagundua hazikusaidii kitu zaidi ya kukupa frustration kazini.
Kwa maelezo haya uliyoyatoa hapa ukifanya hivyo over utilization ya NHIF itawahusu. Kitu kingine unachotakiwa ujue hao NHIF hata uwe perfect kiasi gani lazima wakukate 10%-15% ya malipo yako, Yaani ukiclaim 10M ujuea NHIF watakukata 1M-1.5M na ukiclaim 100M ujue NHIF watakukata 10M-15M. Ukiwa na madaktari ambao hawapo makini kwenye kujaza zile form na adherence to STG makato ni zaidi hapo.
Main reasons za makato ya pesa zako za NHIF ni Over utilization, non adherence to STG and Computation error at your facility.
kama na wewe ni muajiri nikushauri tu jua namna nzuri ya ku-handle waajiriwa wako. heshimu taaluma ya mtu na uache ubabe kwa unao waongoza. unaweza ukawaonea na wasikwambie ila wakazunguka nyuma yako likatokea jambo ambalo hutaamini kama limetendwa na hao unaowaona ni wanyonge.Hahahahaaa. Bwasheee nakusalimu.
Nilikuwa muajiriwa kwenye moja ya hospitali za mkoa za Serikali miaka minne(4) na nilikuwa mtukutu huyu dogo akasome. Kwa miaka mitano(5) sasa nimekuwa muajiri wa watanzania zaidi ya 30 kwenye sekta ya afya(Mimi ni Daktari). Mkuu hili andiko lina ukweli mchache na majungu mengi sana.
nadhani ni muda muafaka kwa wizara husika kuingilia kati hii hospitali.Hizo Songombingo haziishi Dar Group?Tokea huyo mhindi Dr Nelson alikumbwa na kashfa nyingi sana za kuwa na fake qualifications za udaktari,kuwa na chumba ndani ya hospitali kilichosadikiwa alikitumia kwa ngono.
Enzi hizo magazeti ya umma yalimwandama sana.Lakini nayeye alikuwa ns ma godfather.
kama na wewe ni muajiri nikushauri tu jua namna nzuri ya ku-handle waajiriwa wako. heshimu taaluma ya mtu na uache ubabe kwa unao waongoza. unaweza ukawaonea na wasikwambie ila wakazunguka nyuma yako l
kaka nimemaliza intern 2011 sjui wewe ulikuwa wapi enzi hizo. probably ulikuwa bado undergraduate. nakushauri mwambie bossi wako aliyekutuma atulie maana anaweza asipoteze kazi tu bali akakumbwa na kesi ya uhujumu uchumi kama ntaanika na madudu yanayofanyika kitengo cha meno. nakushauri kwenye kituo chako u-play smart.Sawa colleague, kaka bado una mawenge ya Intern.
Nakutakia mafanikio mema mkuu