Tunaomba Simba isimsajili Morison

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Huyu jamaa jana alionekana rasmi ni garasa lililochangamka.

Kwanza nafasi ambayo anacheza simba wanao wachezaji wengi wazuri hamna mtu wa kumuweka benchi, Simba iachane na huyo jamaa ituletee mabeki wa kuaminika tutandaze soka kimataifa.

Morison ana nidhamu ndogo, jana baada ya kutolewa akagoma kukaa kwenye benchi akachukua bodaboda, huko kambini pia ana tabia chafu za kuwatishia wenzake na vitu vyenye ncha kali.

Simba wasiingie kwenye mtego usio na maana.
 
Jamaa anahasira sana ana miezi 3 hajalipwa misharaha yake viongoz wa utopolo waongo waongo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Viol,

Hawezi kusajiliwa simba huyo nidhamu hana anajiona kufunga siku ile nakuupanda mpira akasifiwa akawa mkubwa kuliko klabu.
ishu ni kwamba kama ni kweli alishakula hela kidogo wanaweza kumleta msimbazi
 
Morrison anahitajika Singida united ikaipandishe daraja, Level yake hana namba simba, mtu wa kubahatisha na hana konsistensi
hata kama timu imezidiwa mchezaji mwenye kiwango huwa anaonekana,lakini jana amepotea mazima
 
Mpira wa Tz ni mgumu sana. Hauelewi kama klabu yako ina vision na makombe au vision ni kushinda derby na kuhakikisha mchezaji wako haendi timu mtani.

Sasa huyu utakuta aliaminishwa ukiwa Yanga mechi ni Yanga na Simba tu zingine hata mshinde 100 hata posho ya chai hupati. Hii hutokana na kuaminishwa yeye ndiyo injini ya timu kama Mido, Balotelli, Tevez n.k.

Hivi unadhani angekua ametolewa kwenye mechi na KMC angejinunisha?

Huyu siyo mchezaji wa kwanza kununa baada ya kutolewa na hawezi kua wa mwisho. Ila hiyo haihalalishi utovu wa nidhamu aliouonyesha, kichekesho hapo ni udubirie tamko la Yanga juu ya hili.

Tukutane baadaye.
 
vip kuhusu kocha nae unaona abaki au aende zake na tumpe asante km.wenzake
 
vip kuhusu kocha nae unaona abaki au aende zake na tumpe asante km.wenzake
Kocha yule bado haijulikani kama ni mzuri au mbaya maana hajapata kikosi kizuri
 
Utopolo walivyo waongo inawezekana jana kabla ya mechi walimtuliza hata na laki 5
Aliwahi laki tano yake haraka maana alijua viongozi wanaweza kwenda kuichukua tena.. Mambo ya ufunguo bandia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…