Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Huyu jamaa jana alionekana rasmi ni garasa lililochangamka.
Kwanza nafasi ambayo anacheza simba wanao wachezaji wengi wazuri hamna mtu wa kumuweka benchi, Simba iachane na huyo jamaa ituletee mabeki wa kuaminika tutandaze soka kimataifa.
Morison ana nidhamu ndogo, jana baada ya kutolewa akagoma kukaa kwenye benchi akachukua bodaboda, huko kambini pia ana tabia chafu za kuwatishia wenzake na vitu vyenye ncha kali.
Simba wasiingie kwenye mtego usio na maana.