K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 1,289 Reaction score 2,199 Jun 25, 2025 #1 Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni kila baada ya miezi mitatu. Nawasilisha.
Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni kila baada ya miezi mitatu. Nawasilisha.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 25, 2025 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw