A
Anonymous
Guest
Wakazi wa pacha ya MBAE, MBAE NA MJIMWEMA tunateseka na vumbi kwa sababu ya barabara ni mbovu mno halafu hiyo barabara ni muhimu sana Kwa wanafunzi wa chuo cha TIA wanaokaribia kurudi mwezi wa kumi na licha ya hivyo chuo kimehamia Mjimwema huko lakini serikali ya mkoa wa Mtwara haina mpango wa kujenga barabara.
Kila siku tunahaidiwa lakini haitengenezwi, hivyo na Kwasasa nauli ipo sio chini ya TSH 5000 kwenda mjimwema kwa mwanafunzi wa chuo cha TIA(TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY) na pia kwa wakazi wa Pacha ya mbae,mbae yenyewe na wakazi wa mjimwema pia tunateseka na vumbi.
TUNAOMBA SERIKALI YA MAMA SAMIA ITUWEKEE LAMI ILI ITUPUNGUZIE GHARAMA ZA USAFIRI KWA WAKAZI NA KWA WANAFUNZI KIUJUMLA NA PIA ILI MAENEO HAYO YAWEZE KUPATA MAHITAJI KWA HARAKA BILA MTU KUHANGAIKA HASWA WA MJIMWEMA TUNATESEKA.