A
Anonymous
Guest
Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa daktari mmoja wa kike katika hospitali yetu ambaye anadaiwa kutowahudumia wagonjwa kwa wakati na kutokuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa.
Inadaiwa kuwa hata wagonjwa wenye hali za dharura au wajawazito wamekuwa wakipata changamoto ya kupata huduma kwa wakati, huku daktari huyo akionekana kutokuwa na ushirikiano mzuri na wagonjwa.
Tunaomba uongozi wa hospitali na mamlaka husika wafuatilie suala hili na kuchukua hatua zinazofaa ili kuboresha huduma kwa wagonjwa na kulinda taswira ya hospitali yetu. Tunatambua kuwa wapo watumishi wengi wanaotoa huduma kwa kujituma, hivyo ni muhimu changamoto za aina hii zishughulikiwe kwa wakati.