Tunaomba ushauri kijijini

Tunaomba ushauri kijijini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwenye kijiji chetu akifa Mchungaji tunasali usiku kucha, akifa mlevi tunakunywa usiku kucha. Jana kafa changudoa, tunangoja wazee waseme tunafanyaje.......
 
Back
Top Bottom