Tunaombeni jibu nyie wanaume

5366436898853268957789975457898643367899644577886434679964667787655.

Hakuna mwenye hyo hela dunia nzm hvy hakuna wa kumnunua dada yangu ... Labda mataifa mawl usa na uk na urus wajchange

Hadi wajchange ujue my ccy ni so valuable
 
Nilikumiss pia Jimmie

Waambie wakuelewe kaka
 
5366436898853268957789975457898643367899644577886434679964667787655.

Hakuna mwenye hyo hela dunia nzm hvy hakuna wa kumnunua dada yangu ... Labda mataifa mawl usa na uk na urus wajchange

Hadi wajchange ujue my ccy ni so valuable
ww jitambe tuuu alafu unakuta mda huu kuna njemba ipo kiunoni mwa dada ako alafu imepewa kwa mkopo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maisha haya daaaah
 
dada zangu ni bei ya farasi sio kama hao wengine bei za mafungu ya nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…