Tunaombeni jibu nyie wanaume

Tunaombeni jibu nyie wanaume

5366436898853268957789975457898643367899644577886434679964667787655.

Hakuna mwenye hyo hela dunia nzm hvy hakuna wa kumnunua dada yangu ... Labda mataifa mawl usa na uk na urus wajchange

Hadi wajchange ujue my ccy ni so valuable
 
nilikumiss dada angu Mama Sabrina

tukirudi kwenye mada yako.. mimi huwa napenda kutumia kalaw ka newton kwenye haya mambo...

action and reaction are equal but opposite in direction

yaani unachofanyia dada wa wenzako na wenzako ndicho hichohicho wanachomfanyia dada yako..

unachosema kuhusu dada wa mwenzako ndicho hichohicho wenzako wanachosema kuhusu dada yako

i know the feeling ninezaliwa mvulana peke angu got two elder sisters and one litle sis.... kuna siku niliamua kukachunguza haka kadogo maana niliona kanazidi kuwa busy na simu nilichokutana nacho sitoweza kukitaja

ila tu wanaume wenzangu kaeni mkijua kila unachofanyia dada wa mwenzako na kumuona huyu demu mjinga kweli na ndio njemba wenzako wanachofanya kwa dada ako tena ukute ni zaidi ya ww unachofanya dada za watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikumiss pia Jimmie

Waambie wakuelewe kaka
 
5366436898853268957789975457898643367899644577886434679964667787655.

Hakuna mwenye hyo hela dunia nzm hvy hakuna wa kumnunua dada yangu ... Labda mataifa mawl usa na uk na urus wajchange

Hadi wajchange ujue my ccy ni so valuable
ww jitambe tuuu alafu unakuta mda huu kuna njemba ipo kiunoni mwa dada ako alafu imepewa kwa mkopo 😂😂😂😂 maisha haya daaaah
 
dada zangu ni bei ya farasi sio kama hao wengine bei za mafungu ya nyanya
 
Back
Top Bottom