Tsh.321,000/=Nauli sasahivi kiasi gani kutoka DSM kwenda mwanza/Kilimanjaro na mbeya? Kwa air Tanzania
Hata ingekuwa bei nusu ya Air Tanzania bado ingekuwa nafuu sanaSidhani fast jet hata wangebaki kama wangebaki ba Bei ya elf 70 Hadi Sasa wakati mafuta na Vipuri vimepanda
Fastjet Haikuondoka Tanzania Kwakupenda Ila Mzilankende Aliwaagiza Tanzania Aviation AuthorityKama walikuwa nafuu kiasi hicho, kwa nini haikwenda Kenya au Uganda au Rwanda hata Burundi basi. Tuna umbumbumbu Watanzania
Hatari na nusu ila kama imepungua kuna kipindi nilitaka kwenda kwanza nikakuta inasoma laki nne 2022 kama sijakoseaTsh.321,000/=
Fafanua hoja yako.
Kwamba Kampuni imeona soko lipo Tanzania, inapofukuzwa unataka iende Kenya au Uganda ambako tangu Mwanzo haikuona kama kuna soko!!!???ikuwa kwa bipifu
Vipi Nigeria? Kenya Jambojet hakuweza kuwa low cost hata robo!Kenya sio Tz kuna competition kali sana makampuni ni mengi, muda huo Jumbo jet ndio ilikuwa imekamata zaidi Kenya.
Strategy ya fastjet ilikuwa kutengeneza himaya kwenye nchi zenye huduma mbovu za ndege, enzi hizo kabla hajafika air Tanzania kulikuwa na kero kibao akaona aje hapa kutake advantage
Rwanda na Burundi nchi ndogo hizo zinakaribiana na mkoa wa Mwanza, safari nyingi kwa basi unafika kwa muda
Fast jet waliweza kwenda Zimbabwe pia
Soko hutawaliwa na mambo mengi. hapa ni machache ya kuangalia.Then walikuwa kwa vipofu. Iweje washindwe kwenda huko kwingine kama issue ni unafuu wa tiketi? Haya masoko ya watu masikini tofauti yao nini?
Isingefika basi laki 3/4 walau kama hawa ATCSidhani fast jet hata wangebaki kama wangebaki ba Bei ya elf 70 Hadi Sasa wakati mafuta na Vipuri vimepanda
Ile ilikuwa budget airline, hivyo hata kama bei ingepanda bado ingekuwa nafuu yani isingeweza kulingana na atclSidhani fast jet hata wangebaki kama wangebaki ba Bei ya elf 70 Hadi Sasa wakati mafuta na Vipuri vimepanda
Ndege za ATC zilinunuliwa kwa "Cash Payment in full" kwa ivo mzigo wa kurudisha gharama za ununuzi ulikuwa mkubwa sana.Ile ilikuwa budget airline, hivyo hata kama bei ingepanda bado ingekuwa nafuu yani isingeweza kulingana na atcl
Hatujakataa swala la wao kununua kwa cash inabidi warudishe faida, ila walitakiwa waziache fastjet ziendelee na biashara ili kila mtu achague kupanda anayopendaNdege za ATC zilinunuliwa kwa "Cash Payment in full" kwa ivo mzigo wa kurudisha gharama za ununuzi ulikuwa mkubwa sana.
Fast Jet zilikuwa ndege zilizokodiwa, wanalipana kwa kadri ya biashara kutokana na mapatano yao. Sasa lazima moja bei iwe imechangamka kidogo.
Fastjet angekuwa na mafanikio asingwachia madeni makubwa watoa huduma na wafanyakazi wake. Low cost au operating on forward sales haiwezi kuwa endelevu kwenye soko lenye gharama za uendeshaji kubwa kama Afrika. Ndege ya kukodi haina utani na malipo ya mkopo! Nigeria ina uchumi mkubwa hapa Afrika na population ya kutosha, mbona hakuenda huko? Download financial statements zake uone hali aliyokuwa nayoHatujakataa swala la wao kununua kwa cash inabidi warudishe faida, ila walitakiwa waziache fastjet ziendelee na biashara ili kila mtu achague kupanda anayopenda
Nchi ina watu zaidi ya mil 65 hao Atcl watawamaliza wote?? Pia huduma zao haziridhishi huenda wangebadilika kama wangekuwa na mpinzani thabiti
๐ค๐ค๐Hivi zile zilikuwa ni ndege za jambazi nani?
Wanaweka Siasa ndn ya biashara. Wenyewe hawakua wakipata asara, mnawakimbiza, mnaanzisha zenu za gharama ghali lkn mnaishia kututangazia mabilioni ya hasara halafu tuchekelee kw kua ni letu!? Itachukua muda kupata maendeleo ...dah!Fafanua hoja yako.
Kwamba Kampuni imeona soko lipo Tanzania, inapofukuzwa unataka iende Kenya au Uganda ambako tangu Mwanzo haikuona kama kuna soko!!!???
Na bado hamjasema. Tuliwaambia Dikteta amekurupuka mkasema bi mbeba maono.
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike zaidi.
sikumbuki vizuri kilichotokea lakini fastjet waliondoka akabaki air Tanzania peke yake kama ndege kuu, hata hivyo sikufa moyo nilidhani tutaendelea kupanda air Tanzania kwa nauli kama za fastjet ama pungufu zaidi, kinyume na nilichofikiria mambo yakawa tofauti kabisa mpaka leo, kupanda air Tanzania ni ghali hata kwa watanzania middle class,
Fastjet tuliweza kupanda kwa elf 70 mpaka laki Dsm kwenda Kia (Moshi / Arusha), iliweza kupata sifa ya kuwa huduma ya kijamii, tuliweza kujionea hata safari za Dsm Mbeya zinajaa
Enzi hizo hata ushamba wa ndege watu wengi waliutoa, Nauli Mbeya hadi Dar kwa basi elf 40, fastjet elf 70 unaona heri uongeze miekundu mitatu upande mwewe
Air Taanzania wanaoweza ku afford ni matawi ya juu wale kina upper middle class na kuendelea, wengine wakipanda labda iwe emergency
Mnasema ilikuwa roho mbaya. Hao waliopo sasa wenye roho nzuri mbona hawajairudisha?Ilikuwa roho mbaya tu kuondolewa
Alitegemea Air Tz itafanya vizuri badala yake ikawa kila hasara tunaambiwa inaleta faida
Ila bora wangerudishwa tu
Au kwani hao wanaoiba mabilioni si waanzishe shirika lao tu
Wapo Zimbabwe ๐ฟ๐ผ wana chapa kazi, Ebu wafatilie huko utupe mrejeshoKama walikuwa nafuu kiasi hicho, kwa nini haikwenda Kenya au Uganda au Rwanda hata Burundi basi. Tuna umbumbumbu Watanzania