Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

Upo sasa, lakini SGR itasababisha nauli za ndege zishuke, kama Dar - Dom ni masaa 3 kuna sababu gani ya kulipa 290000 badala ya 40,000 ya train?
 
Fafanua hoja yako.

Kwamba Kampuni imeona soko lipo Tanzania, inapofukuzwa unataka iende Kenya au Uganda ambako tangu Mwanzo haikuona kama kuna soko!!!???
Hapo utaumiza kichwa. Huyo akili yako iko programmed na ma-IT wa Lumumba.
 
Kama walikuwa nafuu kiasi hicho, kwa nini haikwenda Kenya au Uganda au Rwanda hata Burundi basi. Tuna umbumbumbu Watanzania
Unadhani Rwanda au Uganda kuna viwanja vingapi vya ndege, fikiria hilo kwanza.
 
Si ulete wewe?
 
Sidhani fast jet hata wangebaki kama wangebaki ba Bei ya elf 70 Hadi Sasa wakati mafuta na Vipuri vimepanda
Inshu sio kubaki 70,000!!ni suala la logic tu kama sasa basi kwenda Mza hadi 100,000 hata akifanya laki 50!! Bado ni nafuu, mbona huko kusini mwa africa anafanyq vizuri
 
Usafiri wa ndege sio Kwa Wanyonge
 
Tusaidie lujua private airline inayopata faida Afrika. Anza na Precision.
 
Sema tu kwa ufupi Air tanzania ni ya viongozi tu
 
Unadhani Rwanda au Uganda kuna viwanja vingapi vya ndege, fikiria hilo kwanza.
Wingi wa viwanja vya ndege sio wingi wa abiria. Fastjet hakwenda nje ya Dar, Kilimanjaro, Mwanza na Mbeya.
 
Nakumbuka mbali fr
 
Wingi wa viwanja vya ndege sio wingi wa abiria. Fastjet hakwenda nje ya Dar, Kilimanjaro, Mwanza na Mbeya.
Swali langu hujalielewa kwa kina, mfano, unadhani wananchi wa morogoro ni rahisi kupanda ndege? Na je kuna ndege yoyote ya air Tanzania inatua morogoro? Sijawahi kusikia, na unadhani ni kwa nini? Je wananchi wa mkoa wa Pwani ni rahisi kupanda ndege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…