Uzuri private sector ina principles. Unapoanza kupata negative profits ndiyo shutdown point. Ukiona Precision Air ina operate ujuwe ina achieve break even point.Tusaidie lujua private airline inayopata faida Afrika. Anza na Precision.
Uzuri private sector ina principles. Unapoanza kupata negative profits ndiyo shutdown point. Ukiona Precision Air ina operate ujuwe ina achieve break even point.
Breakeven point ni wakati revenues zina kuwa sawa
Sioni logic kwenye maswali yako na swali ulilouliza mwanzo. Essence ya low cost carrier kama fastjet alivyokuwa akijinasibu ni volume ya passengers na management ya operating cost!Swali langu hujalielewa kwa kina, mfano, unadhani wananchi wa morogoro ni rahisi kupanda ndege? Na je kuna ndege yoyote ya air Tanzania inatua morogoro? Sijawahi kusikia, na unadhani ni kwa nini? Je wananchi wa mkoa wa Pwani ni rahisi kupanda ndege?
Huna uelewa wa soko la usafiri wa anga. Angalia financial statements za Precision.Uzuri private sector ina principles. Unapoanza kupata negative profits ndiyo shutdown point. Ukiona Precision Air ina operate ujuwe ina achieve break even point.
Breakeven point ni wakati revenues zina kuwa sawa na fixed costs.
Sina haja ya kuelewa soko la usafiri wa anga. Mimi ni mtaalamu wa costing. Kama Precision angekuwa ana make losses angefunga biashara na kuziegesha ndege.Huna uelewa wa soko la usafiri wa anga. Angalia financial statements za Precision.
Dah! Pole sana.Sioni logic kwenye maswali yako na swali ulilouliza mwanzo. Essence ya low cost carrier kama fastjet alivyokuwa akijinasibu ni volume ya passengers na management ya operating cost!
Umesema ukweli kabisa mwamba!Tuliamua kumnyoosha Mkurugenzi wake Masha kwa kuhamia UKAWA.
Break Even Point kwa lugha rahisi ni kuwa Shirika linakuwa halitengenezi faida au hasara ila linakuwa na uwezo wa kulipa gharama za muhimu shirika kuwepo ambazo lazima zilipwe .Hizo zinaitwa fixed costs mfano mishahara ya wafanyakazi,umeme,maji,kodi ya kupanga,Gharama za uendeshaji ndege kama kulipia vibali husika,leseni ,gharama za airports etcUzuri private sector ina principles. Unapoanza kupata negative profits ndiyo shutdown point. Ukiona Precision Air ina operate ujuwe ina achieve break even point.
Breakeven point ni wakati revenues zina kuwa sawa na fixed costs.
Tumia buses na train sio lazima ndege......ukiona huwezi usilazimisheee
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike zaidi.
sikumbuki vizuri kilichotokea lakini fastjet waliondoka akabaki air Tanzania peke yake kama ndege kuu, hata hivyo sikufa moyo nilidhani tutaendelea kupanda air Tanzania kwa nauli kama za fastjet ama pungufu zaidi, kinyume na nilichofikiria mambo yakawa tofauti kabisa mpaka leo, kupanda air Tanzania ni ghali hata kwa watanzania middle class,
Fastjet tuliweza kupanda kwa elf 70 mpaka laki Dsm kwenda Kia (Moshi / Arusha), iliweza kupata sifa ya kuwa huduma ya kijamii, tuliweza kujionea hata safari za Dsm Mbeya zinajaa
Enzi hizo hata ushamba wa ndege watu wengi waliutoa, Nauli Mbeya hadi Dar kwa basi elf 40, fastjet elf 70 unaona heri uongeze miekundu mitatu upande mwewe
Air Taanzania wanaoweza ku afford ni matawi ya juu wale kina upper middle class na kuendelea, wengine wakipanda labda iwe emergency