Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

Tusaidie lujua private airline inayopata faida Afrika. Anza na Precision.
Uzuri private sector ina principles. Unapoanza kupata negative profits ndiyo shutdown point. Ukiona Precision Air ina operate ujuwe ina achieve break even point.

Breakeven point ni wakati revenues zina kuwa sawa na fixed costs.
 
Uzuri private sector ina principles. Unapoanza kupata negative profits ndiyo shutdown point. Ukiona Precision Air ina operate ujuwe ina achieve break even point.

Breakeven point ni wakati revenues zina kuwa sawa

Swali langu hujalielewa kwa kina, mfano, unadhani wananchi wa morogoro ni rahisi kupanda ndege? Na je kuna ndege yoyote ya air Tanzania inatua morogoro? Sijawahi kusikia, na unadhani ni kwa nini? Je wananchi wa mkoa wa Pwani ni rahisi kupanda ndege?
Sioni logic kwenye maswali yako na swali ulilouliza mwanzo. Essence ya low cost carrier kama fastjet alivyokuwa akijinasibu ni volume ya passengers na management ya operating cost!
 
Uzuri private sector ina principles. Unapoanza kupata negative profits ndiyo shutdown point. Ukiona Precision Air ina operate ujuwe ina achieve break even point.

Breakeven point ni wakati revenues zina kuwa sawa na fixed costs.
Huna uelewa wa soko la usafiri wa anga. Angalia financial statements za Precision.
 
Huna uelewa wa soko la usafiri wa anga. Angalia financial statements za Precision.
Sina haja ya kuelewa soko la usafiri wa anga. Mimi ni mtaalamu wa costing. Kama Precision angekuwa ana make losses angefunga biashara na kuziegesha ndege.

Precision hana mjomba wa kumpa ruzuku ya kununua mafuta ya ndege ili akubebe wewe mpaka KIA just kiwaridhisha watu kuwa yuko sokoni.
 
Vizuri sana theorist!😀😀 Ebu share na sisi financial statements za Precision tuone kuwa operating cost ni sawa na revenue. Hapo nita withdraw statement yangu otherwise it stands.
 
Sioni logic kwenye maswali yako na swali ulilouliza mwanzo. Essence ya low cost carrier kama fastjet alivyokuwa akijinasibu ni volume ya passengers na management ya operating cost!
Dah! Pole sana.
 
Uzuri private sector ina principles. Unapoanza kupata negative profits ndiyo shutdown point. Ukiona Precision Air ina operate ujuwe ina achieve break even point.

Breakeven point ni wakati revenues zina kuwa sawa na fixed costs.
Break Even Point kwa lugha rahisi ni kuwa Shirika linakuwa halitengenezi faida au hasara ila linakuwa na uwezo wa kulipa gharama za muhimu shirika kuwepo ambazo lazima zilipwe .Hizo zinaitwa fixed costs mfano mishahara ya wafanyakazi,umeme,maji,kodi ya kupanga,Gharama za uendeshaji ndege kama kulipia vibali husika,leseni ,gharama za airports etc

Shirika likianza kushindwa kulipa fixed costs linakuwa below break even point hiyo haki iki persist kwa kipindi kirefu kuna uwezekano wa shirika kufilisika na kuondoka sokoni
 
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike zaidi.

sikumbuki vizuri kilichotokea lakini fastjet waliondoka akabaki air Tanzania peke yake kama ndege kuu, hata hivyo sikufa moyo nilidhani tutaendelea kupanda air Tanzania kwa nauli kama za fastjet ama pungufu zaidi, kinyume na nilichofikiria mambo yakawa tofauti kabisa mpaka leo, kupanda air Tanzania ni ghali hata kwa watanzania middle class,

Fastjet tuliweza kupanda kwa elf 70 mpaka laki Dsm kwenda Kia (Moshi / Arusha), iliweza kupata sifa ya kuwa huduma ya kijamii, tuliweza kujionea hata safari za Dsm Mbeya zinajaa

Enzi hizo hata ushamba wa ndege watu wengi waliutoa, Nauli Mbeya hadi Dar kwa basi elf 40, fastjet elf 70 unaona heri uongeze miekundu mitatu upande mwewe

Air Taanzania wanaoweza ku afford ni matawi ya juu wale kina upper middle class na kuendelea, wengine wakipanda labda iwe emergency
Tumia buses na train sio lazima ndege......ukiona huwezi usilazimisheee
 
Usiwaze boss wa fastjet alifika kwa kiboko ya wachawi Dominic,.ni dalili nzir atairejesha😀😀😀.
 
Back
Top Bottom