Ili waje wakupige kwenye ufunguzi wa ligiEeeeh Mungu saidia Mbao washinde hii mechi, Amen.
Habari lakini my rafikiEeeeh Mungu saidia Mbao washinde hii mechi, Amen.
HahaaEeeeh Mungu saidia Mbao washinde hii mechi, Amen.
Simba hamna timu mule,wakae wajenge timu,waache maneno ya kipuuzi,naona wako hapa Dodoma wanaliaibisha jiji la Dar Es Salaam.Dk 40, Muzamiru anaachia mkwaju mkali akiwa nje, goal kick
Dk 38 mpira unaonekana kuwa umepoa sana, ingawa Simba ndiyo wenye mashambulizi mengi lakini hawana utulivu wakifika kwenye lango la Mbao
Dk 33 Mavugo anamdhibiti Asante na kuachia mkwaju mkali hapa, kona
Dk 32, nafasi kwa Kichuya lakini anabutua buuuu
Dk 29, Simba inapata kona ya pili baada ya kipa Haule kujichanganya, inachongwa lakini haule anadaka vizuri kabisa
Dk 27 kosa kubwa wanafanya Mbao FC, Mavugo anapewa pasi yeye na kipa, alichofanya, anakijua mwenyewe, goal kick
Dk 26, Mavugo anauwahi mpira lakini anamgonga kipa hapa na Mwamuzi wa mchezo wa Kikumbo anasema faulo
Dk 22 Simba wanafanya shambulizi hapa, Mavugo anapiga inazuiwa, Liuzio anapiga inazuiwa na Mbao wanaondosha