-Kichuya anaachia mkwaju mkali kabisa hapa lakini kipa anaokoa kwa ustadi mkubwa kabisa
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
Dk 90 zimekamilika, Simba wanashambulia zaidi na Mbao kiana wanapoteza uda huku wakivizia nafasi, wafanye yao
Dk 86, Simba wanapata mpira wa faulo lakii Kichuya anafanya kituko
Dk 84 Kipa Haule anaokoa mpira kwenye mwamba anaokoa kichwa cha Juuko na kuwa kona, inachongwa anaokoa tena
Dk 83 Simba wanapata kona, Mkude anaachia mkwaju, kona tena