Tunaombeni updates za kombe la FA huko Dodoma

Tunaombeni updates za kombe la FA huko Dodoma

Dk 84 Kipa Haule anaokoa mpira kwenye mwamba anaokoa kichwa cha Juuko na kuwa kona, inachongwa anaokoa tena
Dk 83 Simba wanapata kona, Mkude anaachia mkwaju, kona tena
 
-Kichuya anaachia mkwaju mkali kabisa hapa lakini kipa anaokoa kwa ustadi mkubwa kabisa

DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
Dk 90 zimekamilika, Simba wanashambulia zaidi na Mbao kiana wanapoteza uda huku wakivizia nafasi, wafanye yao
Dk 86, Simba wanapata mpira wa faulo lakii Kichuya anafanya kituko
Dk 84 Kipa Haule anaokoa mpira kwenye mwamba anaokoa kichwa cha Juuko na kuwa kona, inachongwa anaokoa tena
Dk 83 Simba wanapata kona, Mkude anaachia mkwaju, kona tena
 
Dak110 Ndaki Robart anaipatia Mbao goli lakusawazisha!
 
Simba ameshinda 2-1 hivyo simba wamefuzu
Penati imewabeba
 
Back
Top Bottom