Tunaomiliki daladala Dar upepo wa biashara utaathiriwa sana na Mwendokasi

Tunaomiliki daladala Dar upepo wa biashara utaathiriwa sana na Mwendokasi

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Kwa kasi ya ujenzi wa barabara za mwendokas kuna root zitaenda kufa au kususuasua

route za

Bunju - Ubungo.
Bunju - Makubusho
Goms - Kariakoo
Mbagala - Kariakoo.

Hizi routes mapato /hesabu ya boss itapungua by half yani 50%.

Ni vyema kuanza kuinvest kwenye sector nyingine.
 
Unahofia nini wakati hilo jiji kila siku raia wanaongezeka na mahitaji ya usafiri kuongezeka...

Mwendokasi yenyewe inalemewa
 
Back
Top Bottom