BMW X3 Gari makini. Ila iwe ya kuokotea mademu weekend tu
Ukimaanisha?BMW X3 Gari makini. Ila iwe ya kuokotea mademu weekend tu
Nikimaanisha iwe kwa show-off tuUkimaanisha?
Kwani haifai kwa matumizi mengine?Nikimaanisha iwe kwa show-off tu
Unaweka oil namba ngapi?Nina vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 nirichukua kwa mtu ilikua inatumia lita 1 ya mafuta kwa km 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikua inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8. Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.
Nianze na kukutakia Heri ya Mwaka Mpyaa dearrrA6 mnyama. Btw European used cars kununua Japan sio expensive. Spare na maintenance kwa jumla ndio ziko juu, na wala sio juu sana. Ukiwa na urafiki na watu kama sisi utainjoi sana kuwa na hizo gari 🙂🙂
Tatizo watu kama nyie saa nyingine mnavimba sana.A6 mnyama. Btw European used cars kununua Japan sio expensive. Spare na maintenance kwa jumla ndio ziko juu, na wala sio juu sana. Ukiwa na urafiki na watu kama sisi utainjoi sana kuwa na hizo gari 🙂🙂
UkereweBaba Taibali anakusalimia.
Hivi LandRover, Range Rover 504 na 505 na Vogue, haya asili yake ni wapi, Japan au German?
Kuna mtu kaniambia nichague zawadi ya birthday mwaka huu.
I'm thinking...🤔🤔🤔
Okay let's find out,Labda wengine. I'm very humble.
Mkuu with all due respect, nimejibu PM zako zaidi ya 50 regarding this.Okay let's find out,
Compare afu contrast hizi gari kitaaalam zaidi....afu toa recommendations. Ukitaka hadidu rejea usisite kuuliza;
2013 Benz E Class W212 E200/250 (facelifted) v. 2013 BMW 5 series 520i v. 2013 Audi A6 2.0T
Sent using Jamii Forums mobile app