Bpk
Member
- Jun 28, 2018
- 43
- 15
Nina vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 nirichukua kwa mtu ilikua inatumia lita 1 ya mafuta kwa km 5 nikapeleka kwa fundi gasket ilikua inavujisha oil inapeleka kwenye plug nikaweka mpya sasa hivi inakula lita 1 kwa km 8.
Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.
Wakati kwa watu wengine wenye vitz kama yangu ni 1lita kwa km 12 kwenda juu hapo tatizo litakua ni nn? Ukizingatia gari bado ni mpya ina mwaka 1 tangu iingia Tanzania.