falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
- #21
mkuu kuna kitu umevuta leo si burembona mwaka 2015 siyo tu walipiga wengine walipigiwa kura kabisa. sijajibiwa maswali yangu..mna support vipi? wakenya mnawaambia chagua uhuru kenyatta? hii inatokea hizi pande za kwetu tu. mambo ya ngoswe mwachieni ngoswe. siyo akili kuingilia ugomvi wa nyumba ya pili na kuchagua side