falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
-
- #21
mkuu kuna kitu umevuta leo si burembona mwaka 2015 siyo tu walipiga wengine walipigiwa kura kabisa. sijajibiwa maswali yangu..mna support vipi? wakenya mnawaambia chagua uhuru kenyatta? hii inatokea hizi pande za kwetu tu. mambo ya ngoswe mwachieni ngoswe. siyo akili kuingilia ugomvi wa nyumba ya pili na kuchagua side
yeye ni rais muda mwingi yuko busy kutekeleza majukumu yakeMgombea anayetoroka mdaharo hafai.
nilifikiri Mbowe na Lowassa watakua wakwanza kujitokeza hapa
Ikulu na Jaluo ni mbingu na ardhi!! Uhuruto tenaaaaaaaaaaaaaa!!!Safari hii UhuruRuto hachomoki. Wakenya tayari wamekwishaamua.
mkuu kuna kitu umevuta leo si bure
uhuru lazima ashinde ila lowasa unamhusisha kwa lana ipiUhuru ni LAZIMA ashinde huko Kenya. Yaani laana kutoka kwa Mungu aliyo nayo Odinga na sawa na ile aliyo nayo Lowassa hapa TZ. Kamwe hawa watu wawili Mungu hatawaruhusu watawale nchi. Never.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawani kweli nmevuta ndugu yangu oxygen
kwakweli huyu odinga hana shukrani pamoja uhuru kujenga sgr bado hana shukranIkulu na Jaluo ni mbingu na ardhi!! Uhuruto tenaaaaaaaaaaaaaa!!!
ni kwa sababu kenya ni nchi ya pili kwa kuwekeza tz badala ya uingerezaMkiambiwa mnaingilia mambo ya uchaguzi kenya mnakataa 2015 hatukuona bandiko la kenya likisema tunaomsapoti lowassa tukutane hapa!
uhuru lazima ashinde ila lowasa unamhusisha kwa lana ipi