Tunaomtakia mema msanii Diamond

Team Kiba katika ubora wako
 
Ali kiba ka keep low ila tunaomjuq kutoka nakshi naksho, mac muga, hadithi.... Mpaka leo mshumaa sio wa kuongelewa au kwekwa level moja na akina Mond... kiba sio mtu wa publicity na kiki, kipaji na kazi zinamuweka pale.

Mkuu nyie mlio karibu na Kiba kwa nini msimshauri arudi kwa Man Water? Toka atoke kule hawa ma producer wengine aliofanya nao hawajaweza sana kwenye vile vionjo vyenyewe vya Kiba.

Kuna wakati inaonekana kama vile kurudi kwa Kiba kwenye chati kunategea yeye kufanya kazi na Man Water kama vile Mondi anavyomtegemea nanihii....!!!
 
nimejaribu kuangalia comments za watu humu nikabaki nacheka tu.

eti tokea aende kigoma nyota imeshuka. hivi tuulizane hapa, diamond ameenda lini kigoma kwenye ile event yake, na ametoa ngoma ngapi baada ya hapo na zinendeleaje. jamani tuache kuhukumu vitu bila reasoning ya kueleweka. mtu ameenda mwisho wa mwaka yan tuseme hadi mwaka huu unaanza alikuwa KG. na huu ni mwezi tatu ndio kwanza mwanzo wa mwaka,. watu mshaanza ramli zenu.

Nakumbuka mwaka 2018 baada ya kuachia albam yake ya " a boy from tandale" alikaa mwaka mzima bila wimbo watu wakaanza maneno oohh ameishiwa. mwanzoni mwa mwaka jana 2019 akaanza na the one, watu ooh ngoma gani mara ilikuwa sijui ya nani.. ila baada ya mwaka 2019 kuisha nadhani wote tunafahamu nini kilifanyika. kwenye top 10 ya nyimbo zilizofanya vizuri youtube kusini mwa jangwa la sahara yeye alikuwa na ngoma kama nne hivi. na show kibao za kimataifa.. kwahiyo nyie mnaojifanya watabiri leo tuombe tu uzima tutakutana mwezi wa 12 kutoa tathmini ya soko la muziki sio kwa wasanii wa Tz bali Africa.


Mi nashauri tu diamond tuache kumpigia ramli maana zilianzaga toka 2013. tutulie tu siku akiishiwa ndio tuongee. ila vinginevyo tutakuwa tunakula matapishi yetu kila siku. OVER.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwanza siko karibu na Ali Kiba,ni long royal fan maana ujana wetu tulianza nao...sio kiba wengi wa 2009 kurudi nyuma

Kafanya ujinga kutokuwa mvumilivu angekubali tu kuendana na Manwalter, uko sahihi sana. Man walter anamuwezea
 
Oh...ahsante mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu ALIKIBA aachane na MAN WATER unavyoona nani hasikiki mjini kati ya MAN WATER na KIBA?.. kipaji hakitegemei mtu popote kazi inaenda tu...rejea DIAMOND alipoachana na BOB JUNIOR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa taarifa ndugu Kiba....
 
Waambie hao timu kwioo
 
Ukimchek mond wa enzi za MERRY ME akimshirikisha ne-yo, sio huyu wa sasa, by then alipendwa na wengi, now ana maadui wengi, tatizo liko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
hata kipindi anatoa marry you mlisema diamond wa kipindi cha ukimwona,mawazo,number one sio yule wa marry me hahahaa hao ndio binadamu ukinya tabu,ukijamba tabu ukikojoa shida
 
Blaza Kaka agiza sanitizer na mask nakuja kulipa
 
Nikiwa mkubwa natamani kuwa kama Platnumz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…