Kama hujui uhandisi wa umeme,acha boss,voltage stabilizer,voltage regulator,AVR(automatic voltage regurator),Automatic voltage switcher AVS)
Vifaa vyote hivi vinafanana utendaji kazi,
Kazi kubwa,ni kuhakikisha umeme unaotoka,Voltage,unakuwa kwenye kiwango kinachotakiwa na salama,mfano kama mifumo inatumia 230V/50HZ,na ikitokea umeme umekuja 265V/50HZ,hivi vifaa vitaushusha mpaka 230V/50HZ,lakini ikitokea umeme ukaja zaidi mfano,320V/50HZ,au kidogo 120V/5HZ,hivi vifaa havitweza kutoa 230V,ama vitajizima,na kukata umeme kabisa(kama vimepewa huo uwezo),au vitaungua.
Hivi vifaa haviwezi kuhimili kiwango chochote cha umeme unaokuja,kila kifaa kinatengenezwa kufanya kazi katika range maalum,mfano 180-270V,umeme ukiwa chini ya 180,au zsidi ya 270,kifaa kitajizima au kuungua kabisa.
Sent using
Jamii Forums mobile app