Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,637
- Thread starter
-
- #21
Hii inafanya kazi kama sabilizer,stage tatu ni katika kupandisha voltage ama kushusha,stabilizer ya kawaida ina stage mojaNingependa kujua hiyo VOLTAGE BOOSTER inafanyaje kazi.
Pili umesema kuwa hiyo mashine inafanya kazi kwa stage tatu, how?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui uhandisi wa umeme,acha boss,voltage stabilizer,voltage regulator,AVR(automatic voltage regurator),Automatic voltage switcher AVS)VOLT GUARD = Inahakikisha kiasi cha voltaji kinacho ingia kiwe kinachotakiwa yaani kisipande wala kisishuke,na vlevle kinachotoka kwenda katka kifaa.
Ikitokea volt imepanda au imeshuka voltguard hua inazuia umeme usifike katka kifaa.
STABILIZER=Hii ni kifaa ambacho kina uwezo wa kuongeza kiasi cha umeme unapokua umepungua ama kupunguza kiasi cha umeme unapokua umezidi kwa kiasi cha wastani wa +60 voltage au -60 voltage "respectively"
Ikitokea kiasi hicho kimeongezeka zaidi ya +60 voltage au kupungua kwa zaidi y -60v stabiliza hua inajizima (hapa hufanya tendo kama la voltage guard).
Hivyo stabilizer ndani yake ina mfumo wa voltage guard ila voltage guard haina mfumo wa stabilizer.
VOLTAGE BOOSTER= Hii inafanya kaz kama stabilizer tofauti yake ni kwamba kiasi chake cha kukabiliana na fractuation ni kikubwa ambapo kinafika hadi + or - 120voltage.
Kama hujui uhandisi wa umeme,acha boss,voltage stabilizer,voltage regulator,AVR(automatic voltage regurator),Automatic voltage switcher AVS)
Vifaa vyote hivi vinafanana utendaji kazi,
Kazi kubwa,ni kuhakikisha umeme unaotoka,Voltage,unakuwa kwenye kiwango kinachotakiwa na salama,mfano kama mifumo inatumia 230V/50HZ,na ikitokea umeme umekuja 265V/50HZ,hivi vifaa vitaushusha mpaka 230V/50HZ,lakini ikitokea umeme ukaja zaidi mfano,320V/50HZ,au kidogo 120V/5HZ,hivi vifaa havitweza kutoa 230V,ama vitajizima,na kukata umeme kabisa(kama vimepewa huo uwezo),au vitaungua.
Hivi vifaa haviwezi kuhimili kiwango chochote cha umeme unaokuja,kila kifaa kinatengenezwa kufanya kazi katika range maalum,mfano 180-270V,umeme ukiwa chini ya 180,au zsidi ya 270,kifaa kitajizima au kuungua kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vifaa vyote hivi vinafanana utendaji kazi
kama mifumo inatumia 230V/50HZ,na ikitokea umeme umekuja 265V/50HZ,hivi vifaa vitaushusha mpaka 230V/50HZ,lakini ikitokea umeme ukaja zaidi mfano,320V/50HZ,au kidogo 120V/5HZ
Mkuu nakutafuta sana aisee...Naona mhandisi una maneneno ya kitaarabu....anyway mhandisi hatakiwi kuanza ufafafanuzi wa marekebisho ya kitaalam kwa maneno ya hovyo hovyo.....
Tunazidiana ufahamu,sababu dunia hii ni pana sana na ujuzi unazidi kukua kila siku
ila hadi sasa 2020 mimi nafahamu kuwa Voltage stabilizer mfano AVR,ni tofauti na Voltage guard (VG) au Automatic voltage swither (AVS),sababu kuu ni kwamba uwezo wa kuongeza kiasi cha voltage pale inaposhuka huwezeshwa na kifaa kinachoitwa transformer kilichopo ndani ya stabilizer (kinacho perform either step up during low voltage na step down during high voltage).
Ambapo vifaa kama AVS au VG vinakosa kifaa hiki,Vifaa hivi hujizima pale umeme unapo zidi au kupungua kiasi ambacho kimesetiwa na mtumiaji vivyo hivyo kikizidi, kawaida huwa na sehemu ambayo mtumiaji(user) hua na uwezo wa kuset kiasi kipi cha juu au cha chini anachokitaka kuwa ni cut point yake.
Hivyo ikiwa umeme upo chini (low voltage) au juu (high voltage) ya kiasi cha mtumiaji alicho kiseti AVS au VG hujizima kwa kuto ruhusu umeme kufikia kifaa,VG au AVS haina uwezo,wa kuongeza ama kupunguza kiasi cha voltage saabu havina transformer ndani.
Nimetumia nguvu kukuelezea japo maelezo kama haya ilibidi nimpe mteja asiye jua chochote ila bahati mabaya nakupa mtaalamu mwezangu dah... hatari sana.
hebu ingia pia katika website inayo uza AVS na VG uone wanasemaje kuhusu ufanyaji wake wa kazi ila kwa kukusaidia hizi ni baadhi ya quote za maelezo yao.
AVS™ function
The VOLTGUARD will disconnect the power to your appliance if the mains goes below or above (user adjustable using iSense™) pre-set limits. The VOLTGUARD will re-connect automatically only after the supply has returned to acceptable limits after the set delay time. You can set the standard delay time to 30 seconds or 3 minutes using the front dial.
VoltGuard iSense - Protecting Electrical Appliances Against Voltage Fluctuations - Sollatek