itz pianist
Member
- Apr 8, 2017
- 8
- 2
yaniii mtaelewa tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mbn nyie ndo biashara yenu sasaaa, maisha yanabadilikaMtani! Hili sio povu....
Bali ni Ukweli uliopo....
Nangojea wakati wenu wa kuanza kuimba mapambia wanayo yaanzisha akina Hans Pope...
Yanga wanabebwa.
Yanga wananunua mechi.
Yanga wanaharibu soka pa bongo.
Manji anahonga wachezaji pinzania...
Malinzi anapendelea Yanga..
Hizo hapo juu ni baadhi ya mapambio ambayo najua si muda kabla hayajaanza kuimbwa na mashabiki wa MATOPENI FC wakiongozwa na Manara....