Tunaoogopa mawashawasha wakati ni wanaume rijali tukutane humu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Aisee kuna madudu yanaitwa washawasha au itching caterpillars hao nawaogopa kuliko kawaida naweza kupa hela yoyote nilionayo nikiona umelishika hasa lile lenye manyoya na macho

Mungu niepushe nisikutane nayo wewe waujua udhaifu wangu.
 
Unajiita mwanaume rijali halafu unaogopa mdudu. Give me a break man. Huyo washa washa anakuwa effective akikugusa tu lakin akiwa mbali hata hakufany kitu..

Acha kuwa mwoga wa wadudu
 
Mzee baba unaogopa dudu washawasha au dudu washawasha?
 
Unajiita mwanaume rijali halafu unaogopa mdudu. Give me a break man. Huyo washa washa anakuwa effective akikugusa tu lakin akiwa mbali hata hakufany kitu..

Acha kuwa mwoga wa wadudu
Akitembea anatisha na ile minyoya chaajabu Zambia wanaila
 
Back
Top Bottom