Kubwa zaidi ni wakiopanga mkakati wa kumuondoa TAL, wakajua wameshamaliza mchezo. Hawakuwahi kuwaza kwamba angesalimika na kuja kuwa mwiba wakati huu.
Nimesikitika Mama ambae kidogo alikua na heshima kwa mbali kuropoka kwamba askari waliopitia mafunzo wakikosa mtu kwa risasi tatu wanawajibishwa. Hivi serikali yao yenye dhamana ya usalama wa raia kushindwa kuwatia hatiani au kuwakamata hao wazembe waliofyatua risasi 16 sio fedheha zaidi kwa serikali?
Kweli?Kama kuna mpango uliopangwa kindezi huu ulikuwa mmojawapo na hasara zake zitazidi kuonekana siku za usoni....
Kanunua ndege kwa rushwa na anajitahidi kuficha, Chato rushwa tupu.....kaliibia taifa 1.5tn na kumfukuza CAG wetu mzalendoMnadai Jiwe kapiga vita ufisadi wakati ndiye alikuwa mbele kwenye rushwa na ufisadi wa kununua wanasiasa
TAL hana jipya tena, keshachuja, atapata kura kiganjani hazijai.
Mpango wa kuwanunua wanasiasa ulidhihirisha ujinga wa Polepole na Bashiru. Yawezekana Mwenyekiti alishiriki katika kupanga au ulikuwa ni mpango wake...
Asante kwa masahihishoMada nzuri ila unetumia mifano ya uongo.
Mollel ni Siha sio Hai
Hai hawajawahi kuwa na mwakilishi faler
Mission imefeli vibaya mnoo ..na kati ya vitu ccm wanajutia ni huu ununuzi wa madiwani na wabunge kutoka upinzani ..umefeli kwa [emoji817]%Wadau,
Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa madeni na wengine kuahidiwa vyeo ili waunge mkono juhudi..
Kwani alikoswa au ni MUNGU hakupenda zaidi? maana risasi 16 ziingie mwilini hizo ni zaidi ya 3Kubwa zaidi ni waliopanga mkakati wa kumuondoa TAL, wakajua wameshamaliza mchezo. Hawakuwahi kuwaza kwamba angesalimika na kuja kuwa mwiba wakati huu...
Una comment huku ukiwa umejificha chini ya godoroTAL hana jipya tena, keshachuja, atapata kura kiganjani hazijai.