Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango wa kuwanunua wanasiasa ulidhihirisha ujinga wa Polepole na Bashiru. Yawezekana Mwenyekiti alishiriki katika kupanga au ulikuwa ni mpango wake. Kama usingekuwa mpango wake, nina hakika Bashiru na Polepole wangefurushwa kwa mpango huo wa kijinga ambao haukuwa na faida kwa yeyote - iwe ni CCM, Taifa, kwa vyama vya upinzani au hata kwa taia mmoha mmoja.
Mpango ule wa kununua watu unadhirisha ni kwa kiwango gani uongozi wa juu wa CCM awamu hii unekaliwa na watu wenye maono butu na IQ ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ulifanya utia nia kuwa mgumu zaidi maana wana-ccm wengi walikuja kwa hasira zaidi. Pili, mliowanunua sio lazima kurudi maana hawana chao. Tatu, idadi ya waliowachukia ccm imeongezeka maradufu. Kazi kwenu.
- Je, umerahisisha kampeni?
- Tuliowanunua watarudi?
- Tumependwa zaidi?
Shida ya Chadema ni pesa ? CCM shida yao ni mawe ? BumbaaavWagombea uraisi wawili waliyoitikisa CCM ambao ni Lowasa na Slaa ambao ndiyo ilikuwa tegemeo la cdm walinunuliwa kwa kupewa kazi na kupewa ahadi ya kulindiwa mali zao. Hivyo hiyo ilitoa taswila sahihi ya cdm kuwa shida yao ni pesa na si vinginevyo
Niliwahi kusema kuwa wanachofanya ccm kuwanunua wabunge na madiwani ni kutaka kukausha bahari kwa kutumia ndoo ya maji!
Nilisema kuwa upinzani utazidi kukua kila uchwao na ndio ukweli ulivyo!
Ccm wanatumia nguvu kubwa kuliko kipindi chote kuomba ridhaa wakitumia maguvu ya kutisha ili kukusanya watu!
mnatumia sana nguvu kuktetea lakini haihitajiki hata degree kujua kama ccm ilinunua wanachama wa upinzani ili kuonesha ni kiasi gani watu wanaunga juhudi za rais. aliyesuka huo mpango atakuwa anajilaumu sana kwa ujinga alioufanya maana uliudhihirishia umma kwamba upinzani umekufa kwasababu ya hao wanaohama
Wakudadavua na TandaleOne njooni huku mjibuWadau,
Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono Juhudi JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa madeni na wengine kuahidiwa vyeo ili waunge mkono juhudi.
Halmashauri zilivurugwa, mameya wa majiji waliondolewa kwa nguvu, chaguzi ndogo zilifanyika na wabunge walirudishwa kwa hila za wazi (Mollel huko Hai, Mtulia na wengine)
Tunaoona mbali tulionya ya kuwa jambo hili halina siha kwa ustawi wa Taifa lakini waliotaka kumfurahisha mkuu walitukejeli. Sasa tufanye evaluation ya uwekezaji huu ulifanywa na Polepole na timu yake kwa kujibu maswali machache yafuatayo,
- Je, umerahisisha kampeni?
- Tuliowanunua watarudi?
- Tumependwa zaidi?
Kila biashara ina faida na hasara.Mission imefeli vibaya mnoo ..na kati ya vitu ccm wanajutia ni huu ununuzi wa madiwani na wabunge kutoka upinzani ..umefeli kwa [emoji817]%
Mimi Nina lugha moja rahisi Dana.Hao walimshauri vibaya m.kiti wajipange,kwani haha ni matokeo ya ushauri wao mbaya.Wadau,
Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono Juhudi JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa madeni na wengine kuahidiwa vyeo ili waunge mkono juhudi.
Halmashauri zilivurugwa, mameya wa majiji waliondolewa kwa nguvu, chaguzi ndogo zilifanyika na wabunge walirudishwa kwa hila za wazi (Mollel huko Hai, Mtulia na wengine)
Tunaoona mbali tulionya ya kuwa jambo hili halina siha kwa ustawi wa Taifa lakini waliotaka kumfurahisha mkuu walitukejeli. Sasa tufanye evaluation ya uwekezaji huu ulifanywa na Polepole na timu yake kwa kujibu maswali machache yafuatayo,
- Je, umerahisisha kampeni?
- Tuliowanunua watarudi?
- Tumependwa zaidi?
Hana jipya..mbona fiesta iliendelea jana Mwanza..unafikiri Diamond analipwa buku saba kutumbuiza?TAL hana jipya tena, keshachuja, atapata kura kiganjani hazijai.
Mkuu utaumiza ubongo wako bure kujibizana na mazezeta ya Lumumba. Mada inaongelea kingine lenyewe linakuja kuharibu kabisa.Mie siongelei atapata kura ngapi, na kuchuja au kutokuchuja, hilo wataamua wananchi. Nimeandika kauli ya mama mwenye wadhifa aliyoutoa hivi majuzi.
Na huu uzi unajadili baadhi ya mambo yaliyofanywa kwa lengo la kuhujumu upinzani.
Unatumia kipimo gani kujua maamuzi ya watu watakayoyafanya?
upinzani ndo kwanza umepakwa mafuta. Nilishasemaga humu kuwa upinzani sio Mbowe, Lissu wala Zitto. Hata ukiwaua wote hao upinzani utakuwa palepale. maana upinzani uko kwenye nyoyo za watu. Kila mtu anaepata riziki yake kwa taabu sana ni mpinzani, kila mtu asiyekuwa na ajira ni mpinzani, kila mtu aliyeonewa na chombo cha serikali ni mpinzani, kila mtu asiyekuwa na chakula, maji, umeme, shamba, ajira ni mpinzani.Wadau,
Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono Juhudi JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa madeni na wengine kuahidiwa vyeo ili waunge mkono juhudi.
Halmashauri zilivurugwa, mameya wa majiji waliondolewa kwa nguvu, chaguzi ndogo zilifanyika na wabunge walirudishwa kwa hila za wazi (Mollel huko Hai, Mtulia na wengine)
Tunaoona mbali tulionya ya kuwa jambo hili halina siha kwa ustawi wa Taifa lakini waliotaka kumfurahisha mkuu walitukejeli. Sasa tufanye evaluation ya uwekezaji huu ulifanywa na Polepole na timu yake kwa kujibu maswali machache yafuatayo,
- Je, umerahisisha kampeni?
- Tuliowanunua watarudi?
- Tumependwa zaidi?
Bado na matokeo ya kura za maoni nayo yatazidisha upana wa kovu na kutia ndimu kwenye donda!!Kama kuna mpango uliopangwa kindezi huu ulikuwa mmojawapo na hasara zake zitazidi kuonekana siku za usoni.
Mama Janet Aliitwa Aonekane...Jiwe kapanic hovyo hovyooo.Anamlazimisha mama janeth kuomba kura.Mama wa watu hata hajui kuongea
i have every reason to prove hakuna mwanasiasa alinunuliwa lakini at the same time inaonyesha jinsi gan chama chenu ni hovyo! kama mada ni kununua then kama mngekua na ushawishi hela zisingewarubuni ila kama mada ni ela basi chama chenu ni hovyo kwamba watu wananunulika na pesa, siasa za dunia pia viongozi wanarubuniwa na pesa wanauza nchi kwahio mkipewa nchi ela ni tosha kuuza nchi!