Wadau,
Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono Juhudi JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa madeni na wengine kuahidiwa vyeo ili waunge mkono juhudi.
Halmashauri zilivurugwa, mameya wa majiji waliondolewa kwa nguvu, chaguzi ndogo zilifanyika na wabunge walirudishwa kwa hila za wazi (Mollel huko Hai, Mtulia na wengine)
Tunaoona mbali tulionya ya kuwa jambo hili halina siha kwa ustawi wa Taifa lakini waliotaka kumfurahisha mkuu walitukejeli. Sasa tufanye evaluation ya uwekezaji huu ulifanywa na Polepole na timu yake kwa kujibu maswali machache yafuatayo,
- Je, umerahisisha kampeni?
- Tuliowanunua watarudi?
- Tumependwa zaidi?
Huyo mama ni kondoo alievaa ngozi ya mbwa mwitu. Wao lao ni moja.Nilishangaa sana mnamsifu eti mnyenyekevu.utaishije na shetani alafu wew uwe malaika.
Yale mabilioni yaliteketea bure kabisaa!Kama kuna mpango uliopangwa kindezi huu ulikuwa mmojawapo na hasara zake zitazidi kuonekana siku za usoni.
😂😂😂😂 Ila nyie watu bn..!Nyie maccm Bado tuna mafaili 120 tumefungulia mafaili 10 tu ndani ya siku kumi, mmepoteana, Sasa baada ya uzindui wa Kanda tunaenda kuzunguka nchi rasimi, na kufinguliwa mafaili 110 yaliyobaki
Imetusaidia kuelewa kuwa chadema wananunulika hivyo hawafai kupewa nchi. Kwani mijawapo ya sera yao ni kununulika.
Wagombea uraisi wawili waliyoitikisa CCM ambao ni Lowasa na Slaa ambao ndiyo ilikuwa tegemeo la cdm walinunuliwa kwa kupewa kazi na kupewa ahadi ya kulindiwa mali zao. Hivyo hiyo ilitoa taswila sahihi ya cdm kuwa shida yao ni pesa na si vinginevyo
Wakikupa majibu ya maswali yako. Unitag.Sasa tufanye evaluation ya uwekezaji huu ulifanywa na Polepole na timu yake kwa kujibu maswali machache yafuatayo,
- Je, umerahisisha kampeni?
- Tuliowanunua watarudi?
- Tumependwa zaidi?
Kama hawataki upinzani, watoe ajira, huduma za kijamii za uhakika, waache upendeleo, wapandishe madaraja watumishi na mishahara, soko la uhakika wa mazao ya wakulima, miundombinu ya uhakika, mikopo kwa wanafunzi n.k upinzani hautakuwepoNiliwahi kusema kuwa wanachofanya ccm kuwanunua wabunge na madiwani ni kutaka kukausha bahari kwa kutumia ndoo ya maji!
Nilisema kuwa upinzani utazidi kukua kila uchwao na ndio ukweli ulivyo!
Ccm wanatumia nguvu kubwa kuliko kipindi chote kuomba ridhaa wakitumia maguvu ya kutisha ili kukusanya watu!
Kuna watu wana matokeo yao nahisiMie siongelei atapata kura ngapi, na kuchuja au kutokuchuja, hilo wataamua wananchi. Nimeandika kauli ya mama mwenye wadhifa aliyoutoa hivi majuzi.
Na huu uzi unajadili baadhi ya mambo yaliyofanywa kwa lengo la kuhujumu upinzani.
Unatumia kipimo gani kujua maamuzi ya watu watakayoyafanya?
Alafu akasema risasi 16 apingwe mtu amekuwa tembo?. Sasa Nairobi alienda kumuona tembo?. Siasa zimenifanya kugundua kuwa nilikuwa naheshimu asiyestahili hata chembe ya heshimaKubwa zaidi ni waliopanga mkakati wa kumuondoa TAL, wakajua wameshamaliza mchezo. Hawakuwahi kuwaza kwamba angesalimika na kuja kuwa mwiba wakati huu.
Nimesikitika Mama ambae kidogo alikua na heshima kwa mbali kuropoka kwamba askari waliopitia mafunzo wakikosa mtu kwa risasi tatu wanawajibishwa. Hivi serikali yao yenye dhamana ya usalama wa raia kushindwa kuwatia hatiani au kuwakamata hao wazembe waliofyatua risasi 16 sio fedheha zaidi kwa serikali?
Mnadai Jiwe kapiga vita ufisadi wakati ndiye alikuwa mbele kwenye rushwa na ufisadi wa kununua wanasiasa
Hili zoezi lilikuwa la kihuni tu na lilitupotezea fedha za kurudia uchaguzi, hawa watu hawana influence yeyote, kibaya zaidi ni hawa waliopitishwa na ccm kugombea ndani ya ccm wanaonekana wahuni na nje ya ccm wanaonekana washenzi yaani hawauziki,Wadau,
Kuna kipindi ambacho Press conference zilifanyika kwa wingi na nyingi zikiwa kuwatangaza watu waliounga mkono Juhudi JUHUDI. Tunasikia (hatuna ushahidi bado) kuwa kuna watu walilipiwa madeni na wengine kuahidiwa vyeo ili waunge mkono juhudi.
Halmashauri zilivurugwa, mameya wa majiji waliondolewa kwa nguvu, chaguzi ndogo zilifanyika na wabunge walirudishwa kwa hila za wazi (Mollel huko Hai, Mtulia na wengine)
Tunaoona mbali tulionya ya kuwa jambo hili halina siha kwa ustawi wa Taifa lakini waliotaka kumfurahisha mkuu walitukejeli. Sasa tufanye evaluation ya uwekezaji huu ulifanywa na Polepole na timu yake kwa kujibu maswali machache yafuatayo,
- Je, umerahisisha kampeni?
- Tuliowanunua watarudi?
- Tumependwa zaidi?
mnatumia sana nguvu kuktetea lakini haihitajiki hata degree kujua kama ccm ilinunua wanachama wa upinzani ili kuonesha ni kiasi gani watu wanaunga juhudi za rais. aliyesuka huo mpango atakuwa anajilaumu sana kwa ujinga alioufanya maana uliudhihirishia umma kwamba upinzani umekufa kwasababu ya hao wanaohamai have every reason to prove hakuna mwanasiasa alinunuliwa lakini at the same time inaonyesha jinsi gan chama chenu ni hovyo! kama mada ni kununua then kama mngekua na ushawishi hela zisingewarubuni ila kama mada ni ela basi chama chenu ni hovyo kwamba watu wananunulika na pesa, siasa za dunia pia viongozi wanarubuniwa na pesa wanauza nchi kwahio mkipewa nchi ela ni tosha kuuza nchi!