Uchaguzi 2020 Tunaoona mbali tulionya jambo hili halina siha kwa ustawi wa Taifa

Nadhani kasoma somo moja kubwa sana in a hard way, akiifanikiwa kupata tena nafasi nadhani atayasema yoooote, kwa sababu kuwa anapeda kusema ya sirini.
Uko sahihi mkuu,anapita njia ile ile aliyopitia Marehemu raisi awamu ya tatu,Mkapa ubabe na visasi kwa wapinzani raisi huyo alipotoka madarakani ndipo alipogundua na kujutia makosa yoteee na huyu hata akipita atakuja kujuta zaidi na kuomba asamehewe kama si kutunga kitabu cha kujutia aliyoyafanya.
 
Mno. Kimsingi madaraka kama hayajatumika kwa busara huleta kiburi sana. Unamkumbuka Basil P Mramba na ununuzi wa ndege ya raisi? Alisema tutakula nyasi, lakini lazima ndege ya raisi inunuliwe. Huyu nae anasema watu wa Bunda wasipochagua mgombea wa CCM watakosa maendeleo na kushikishwa adabu. Anasahau kwamba huku mitaani kumejaa shida tupu baada ya kuvuruga uchumi.
 

tulimuulizia amsterdam ama
 
Huyu mzee atafyonywa hadi mwisho wa maisha yake hapa duniani. Amewaumiza wengi sana! Ni Hitler wa kizazi chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…