A
Anonymous
Guest
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Global Aluminium Limited kilichopo Zogowale, Mlandizi, Kibaha, tunalalamikia unyanyasaji wa wafanyakazi, mikataba yenye utata, kufukuzwa kazi wakati wowote na kukosa mapumziko.
Wale wanaomaliza mikataba hawapewi barua kwa wakati, na baadhi yao hudai kunyimwa stahiki zao. Mimi nimemaliza mkataba, lakini nimepewa barua ninayoona si sahihi, na nilipopeleka madai yangu NSSF, mwajiri alitoa taarifa zinazonichafua, jambo lililonifanya nikose stahiki zangu.
Tunaomba mamlaka husika zichunguze malalamiko haya na kuhakikisha haki za wafanyakazi zinalindwa.