Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

JamiiForums-1678296082.jpeg
 
Huu uzi kuna fix nyingi sana imagine hapo kuna mdau kaweka picha ya mtu ninayemfahamu 100% na kwa kufuatilia thread zake nimeprove 100% siyo yeye[emoji23][emoji23][emoji23].

Na kuna watu hapa they are going to fall into the silly trap.
Hili limeshakamilishwa mkuu.
Huu uzi ni fursa kwa mafisi[emoji23][emoji23]
 
Yani kuna watu wanaamini picha zitakazowekwa hapa ni za wahusika basi kumbe hakuna kitu watu wanaweka picha za watu baki kabisa hapa na nimejiridhisha kuhusu hilo😂😂
 
Mm ukiona yangu we amin tu kuwa ndio mm halisi
 
Huu uzi kuna fix nyingi sana imagine hapo kuna mdau kaweka picha ya mtu ninayemfahamu 100% na kwa kufuatilia thread zake nimeprove 100% siyo yeye[emoji23][emoji23][emoji23].

Na kuna watu hapa they are going to fall into the silly trap.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom