Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] kwanza nikipewa ticket ya mbinguni, lazima niulize mara 2 ni yangu kweli? Na ikiwa yangu kweli nauza kwa mwingne. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We hata nikisikia unauza tiket ya mbinguni sinunui, itakuwa feki tu hiyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mie ni wa kwenda mbinguni kweli? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapana sitaki nikawatindiganye malaika, naenda zangu jehanam kupambana mashetan wenzangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom