Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Haswaaaaa!!!!....

Unisahau...halafu kwenye kuachwa na Flight uanze zile zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah umenikumbusha mbali rafiki, asantee.
Upendo wa ndugu na udumu milele[emoji16][emoji16][emoji16]

Huu ndio urafiki wa faida kuliko hata wapenzi eti?[emoji1]
 
Daah umenikumbusha mbali rafiki, asantee.
Upendo wa ndugu na udumu milele[emoji16][emoji16][emoji16]

Huu ndio urafiki wa faida kuliko hata wapenzi eti?[emoji1]
Amen...Amen Rafiki yangu mwema...

Upendo udumu daima...

Mwenyewe kuna siku nilikumbuka nilicheka mno...ile mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe itakuwa unafanana na dogo langu la 3[emoji1787]
Uwage na adabu, yaan 95 niwe mdogo wako wa 3?
Hebu kuwa serious bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…