Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Haswaaaaa!!!!....

Unisahau...halafu kwenye kuachwa na Flight uanze zile zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah umenikumbusha mbali rafiki, asantee.
Upendo wa ndugu na udumu milele[emoji16][emoji16][emoji16]

Huu ndio urafiki wa faida kuliko hata wapenzi eti?[emoji1]
 
Daah umenikumbusha mbali rafiki, asantee.
Upendo wa ndugu na udumu milele[emoji16][emoji16][emoji16]

Huu ndio urafiki wa faida kuliko hata wapenzi eti?[emoji1]
Amen...Amen Rafiki yangu mwema...

Upendo udumu daima...

Mwenyewe kuna siku nilikumbuka nilicheka mno...ile mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom