Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi hujui viagraa na vumbi huwa vinasamba? Wee haya tyuuh
panga uo muda basi...harafu sijamaanisha madawa hayo...sisi watu wakijijini huwa atutegemei madawa...hizo dawa za wanaume zenu wa darisalama...
 
mutu murefu nakuomba hapa Mr ukuje utupie selfie yako, sie tu zoom mema ya uumbaji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa chimbo ni hili, nitawafurahisha vilivyo haswaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Naaaaaaaaaam!!
Usisahau kitufe cha kunitag Dadako...sawa eeeh?
Na mimi nitakuwa naweka hapa[emoji28]
 
[emoji23]Naaaaaaaaaam!!
Usisahau kitufe cha kunitag Dadako...sawa eeeh?
Na mimi nitakuwa naweka hapa[emoji28]
Hapa ndo penyewe sasa, kukutag ni ma command.
Relaaaaaaax,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…