X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Uzi unaenda kasi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Usingenichenga toka zamani mda huu ungekua unanipikia futari mamiloo
Wewe?Tumefunga jamani
Jumaa Mubarak all friends[emoji173]View attachment 2180082
[emoji1545][emoji1545]Pole na swaumu
Unazurula nawe,hadi huku!!!!!Pole na swaumu
Wewe sasa unataka kutufungulisha na hayo macho mmmh any way ijumaa njema kwako piaJumaa Mubarak all friends[emoji173]View attachment 2180082
Mmmmh nawe,macho ndani ya niqabWewe sasa unataka kutufungulisha na hayo macho mmmh any way ijumaa njema kwako pia
Usinitanie
Unazurula nawe,hadi huku!!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushabiki umeanza lini?Nimekuja kushuhudia urembo wako halafu nipotee na kwa kweli ushaibariki asubuhi yangu, ngoja nielekee kwenye tipa nikapakie mchanga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushabiki umeanza lini?
Naona weekend ishaanza[emoji41]Muda huu huu [emoji3]
Nini tena Jemima Mrembo
Naona weekend ishaanza[emoji41]
Mambo!!!
Hv huu msemo ni wa nan naona watu wengi wanautumia[emoji23][emoji23][emoji23]make apo kwanza ncheke
Kajaa kamoja hiviHv huu msemo ni wa nan naona watu wengi wanautumia
Nakaona karibu kila mahala humuKajaa kamoja hivi