Hivi hii ni fukwe ya wapi mana sijaielewa yaan
Khaa!imefutwa?Wewe sasa unataka kutufungulisha na hayo macho mmmh any way ijumaa njema kwako pia
Definitely huyo ni Saint Anne 🤣🤣Mmmh!! Umenifananisha na Saint Anne na Heaven Sent mkuu.
Mko na moto wenu spesheli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Definitely huyo ni Saint Anne [emoji1787][emoji1787]
Halafu eti mie hako kamsemo kananikera, sijui ndio uzee[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hv huu msemo ni wa nan naona watu wengi wanautumia
Aaaaah ni huyo mdogo enu. Mimi nimeshaokoka jana🤣🤣🤣Mko na moto wenu spesheli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jana eeeh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaaaah ni huyo mdogo enu. Mimi nimeshaokoka jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado mpya kabisa kwenye wokovuJana eeeh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukupe na ka energy au tukuache kwanza?Bado mpya kabisa kwenye wokovu
Mie mwenyewe kananikera lakini nifanyaje na siwez pangia watu cha kupostHalafu eti mie hako kamsemo kananikera, sijui ndio uzee[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ulilala mapema
Naomba lift hadi Goba[emoji41]Si unaona nilivyopauka hapo niko napakia mchanga kwenye mende. Karibu sana
[emoji3061][emoji3061]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakwelli
Asubuhi[emoji23]Ulilala mapema
Umechelewa. [emoji23][emoji23][emoji23]Njiapanda
Mara ngapi? Tuliaaa.[emoji28]Uzi huu utazaa mapacha[emoji28]
Nilijua tu haya baadae utasoma zile tarakimu tamuUmechelewa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani[emoji119][emoji119][emoji119]Mie mwenyewe kananikera lakini nifanyaje na siwez pangia watu cha kupost
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa zipo?usijari mchumba...