Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Kupitia huu uzi zipo ID kuanzia leo nitafanya nazo argument kwa akili sana unless nikubali kupoteza battle wao wabaki na point tatu.

Bado naendelea kuperuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan sasa?
 
Kuweka picha na kuifuta hapo hapo ni moja ya matatizo ya akili pia
 
Yah!nimejitahidi kuacha,ila naona humu kufuta ni desturi
Ukikagua nyingi bado zipo,nadhani nimefuta mbili tu.
Ya kwako iko wapi?
Kama zipo vizuri..
Ninachopenda picha inawekwa clear kabisa...

Yangu/zangu zinakuja.Ile mida mida...si unajua?[emoji28]
Tulia hapa hapa...usiondoke..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…