Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh!! Umenifananisha na Saint Anne na Heaven Sent mkuu.Nakuonaga ukifanya ile inaitwa...walete walete hadi wanajaa wavuni[emoji28]
Hapo nimepiga picha 25 hio ndio imetoka kidogo natabasamu et. Wengne hatujui kucheka wala kutabasamMkuu mbona umenuna sana
Haha wewe Atoto acha hizoMmmh!! Umenifananisha na Saint Anne na Heaven Sent mkuu.
Mie unanisingizia kwakweli.Haha wewe Atoto acha hizo
Mkuu upoTupia hata mguu tu
Thnx
[emoji23][emoji23] ipo mbona[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kwahyo umeona ufute kabla sijaona?
[emoji23][emoji23] ipo mbona
Nini kinaendeleaNapitwa
Umekuwa wa kike lini?
Hizi kamba sasa
This is jf bhanaKwani una nifahamu mkuu?
Ntaweka badaeHakuna bwana...eb rudia tenaa
Mzee wa Njedengwa!
We mzee itabidi tujuane aseeh. Nilikuwa huko pia. Pande za Ruangwa kwa Wamwera.
Shusha simu kidogo, kisha toa hiyo emoji mgaa gaa bwana
sijambo za huko mkuu...?Humu ndani tunatukanana na wajukuu zetu kabisa ..Hujambo kijana?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nafturu,ngoja nimalize kufturu nitashushaShusha simu kidogo, kisha toa hiyo emoji mgaa gaa bwana
Hatukaribishani jamani?Nafturu,ngoja nimalize kufturu nitashusha