Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Yanakua mangapi?
Kuna mengine ni makubwaaa unakata size unayotaka...na kuna mengne yanaweza kuwa sita, nane mpaka kumi ila sasa itategemea ukubwa na uzito wake mana ni mtumba yanakuja size tofaut tofauti
 
Yan mmesimamia kidedea mapazia yangu
Wasikunyanyase,nimekuchagulia hilo[emoji7]
FB_IMG_16462864838679053.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiweka pazia zangu hapa utahaha mbna, kitu classic, afu rangi maridhawa.
Watu weuweeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hata yangu n maridhawa ila maridhawa kwangu mwenyewe [emoji3]
 
Back
Top Bottom