wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,142
- 2,947
Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa
Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila ubaguzi tofauti na wale wenzetu wa j/mosi, hapa naona kabisa wanafanya kile YESU alichoagiza, kutangaza injili (habari njema za kristo) kwa watu wote.