Tunaopenda thread zinazoishia na sentensi "tukutane hapa", tukutane hapa.

Tunaopenda thread zinazoishia na sentensi "tukutane hapa", tukutane hapa.

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Wakuu
Najua hizi thread zinazoishia na maneno "tukutane hapa" huwa zinajazwa na wachangiaji mbalimbali na pia huwa na mavuzo na ucheshi mwingi unaosaidia kupunguza makali ya maisha. Lakini siku za hivi karibuni sledi hizi zimekuwa nyingi sana na zinaonekana kama zinaanza kupoteza mvuto kwa kuwa wachangiaji wamekuwa ni wachache mno. Sasa naombeni tukutane hapa ili tuangalie ni nini cha kufanya kurudisha hali kama zamani.
 
tukutane hapa ili tuangalie ni nini cha kufanya
 
Mende msafi mie nilidhani umeyeya.
 
naishangaaga sana ile thread ya...

"Wale wanaopenda kutembea/kutongoza wake za watu tukutane hapa"

sijui watu wanawazaga nini kichwani,
 
Back
Top Bottom