Wakuu
Najua hizi thread zinazoishia na maneno "tukutane hapa" huwa zinajazwa na wachangiaji mbalimbali na pia huwa na mavuzo na ucheshi mwingi unaosaidia kupunguza makali ya maisha. Lakini siku za hivi karibuni sledi hizi zimekuwa nyingi sana na zinaonekana kama zinaanza kupoteza mvuto kwa kuwa wachangiaji wamekuwa ni wachache mno. Sasa naombeni tukutane hapa ili tuangalie ni nini cha kufanya kurudisha hali kama zamani.