Tunaopiga picha darajani Manzese

Tunaopiga picha darajani Manzese

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Wadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi
 
Mwenyewe huwa nawacheka wanaopiga picha darasa la manzese😂😂
 
Hahaha Wasukuma mna shida nyie ndio mlikuwa mnalipishwa Hela kupiga picha na Jablass wa misukosuko Huko Ccm kilumba
 
Mimi ni mkazi wa Manzese Bakhressa tokea daraja lijengwe hadi leo sijawahi kupiga picha pale pia sioni sababu ya kuwacheka watu maana kila mťu ana haki ya kufurahisha nafsi yake.
 
Dar umekuja lini??
ukifika uliza wenyeji!!
 
mimi sio mkazi wa Manzese lakini nimepiga picha zaidi ya mara moja pale lakini walivyoweka mabango tu nikakacha ile view nzuri ikasepa, kupiga picha sio ushamba bali ni kumbukumbu ndio maana wengine tunapiga picha beach na sehemu nyinginezo bila kuonekane washamba.
 
Wengi ni CCM ndiyo uwa wanajaa pale kupiga picha .
 
Ikiwa wanapiga tu picha na hawavunji sheria wala kusumbua wengine tatizo liko wapi?

Ushamba una tafsiri tofauti kwa kila mmoja kutokana na mazingira, mwingine anaweza kukuona mshamba kwa kutumia JF.
Vinginevyo mtuwekee vigezo na kipimo cha ushamba.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mpaka leo bado kuna watu wanapiga picha!? [emoji74][emoji74][emoji74]
Kuna tofauti kati ya kujipiga picha daraja la manzesa na kupiga picha daraja la manzesa ,hata ubungo flyover sasa wasipo piga picha tutatumia nini hata hapa jf
 
Picha Ni kumbukukumbu ambayo inatakiwa saa nyingine kupiga na vitu ambavyo utakuja au vizazi vijavyo vitakuja kukumbuka......

Na Mara nyingi Kila sehemu ina kitu chake unique ambacho ukupiga picha nacho Basi Ni confirmation Kama na wewe ulikuwa eneo Hilo.

Anayekucheka unaopopiga hiyo picha yeye ndio mshamba Tena wa kiwango Cha barabara ya vumbi.

Mtu akienda New York atapigia kwenye Mnara was yupe mama aliyeshika torch Kama mwenge....France atapuga Eiffel tower and so on and so on .....
 
Daraja la kirumi mkoani Mara ni la miaka kibao lkn hd leo watu wanapiga picha na wengine huvuka kwa kutembea ili kuona maajabu yake.
mimi sio mkazi wa Manzese lakini nimepiga picha zaidi ya mara moja pale lakini walivyoweka mabango tu nikakacha ile view nzuri ikasepa, kupiga picha sio ushamba bali ni kumbukumbu ndio maana wengine tunapiga picha beach na sehemu nyinginezo bila kuonekane washamba.
 
Ninafikiri watu wanashangaa kupiga picha pale sababu ya eneo lenyewe manzese.
Mimi binafsi naona eneo lile kuibiwa kwa njia yoyote ni haraka sana.
 
Seriously? Watu wanaona ushamba kupiga picha Darajani? Tuna safari ndefu sana ya kuthamini vya kwetu. Daraja hilo hilo lingejengwa NYC haohao ndo wangekua wa kwanza kupiga picha nalo.
 
Back
Top Bottom