Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
We piga tu ngosha usijali maneno ya watuWadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi