Tunaopiga picha darajani Manzese

Tunaopiga picha darajani Manzese

Wadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi
We piga tu ngosha usijali maneno ya watu
 
Back
Top Bottom